Back to home
Hazina ya ufadhili wa elimu ya juu yazindua mfumo wa dijitaji
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
3h ago
Hazina ya ufadhili wa elimu ya vyuo vikuu inazindua mfumo wa kidijitali utakaorahisisha utoaji huduma kwa wanafunzi . waziri wa elimu Migos Ogamba anahudhuria hafla hiyo hapa jijini Nairobi.