Back to home

Benki ya dunia yafadhili mradi wa kusambaza maji nyatike kaunti ya Migori

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
3h ago
Kwa miaka mingi wakaazi wa kaunti ndogo ya Nyatike katika kaunti ya Migori wamekuwa katika njia panda kupata maji safi ya matumizi. Benki kuu ya dunia imeanzisha mradi ya kusamabaza maji safi katika kila nyumba huko nyatike kaunti ya Migori.
Benki ya dunia yafadhili mradi wa kusambaza maji nyatike kaunti ya Migori (Video)