Back to home

Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana Kimani Wamatangi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
10h ago
Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana kimani wamatangi iwapo atakosa kushughulikia kwa dharura sekta ya afya ya kaunti hiyo inayoendelea kuzorota.
Baadhi ya wawakilishi wadi wa kaunti ya Kiambu wametishia kumtimua gavana Kimani Wamatangi (Video)