Back to home
Mkazi auawa kwenye shambulio la kulipiza kisasi Kainuk
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
4h ago
Taharuki imetanda katika Kijiji cha Lorogon Turkana Kusini mpakani mwa kaunti ya Pokot magharibi na Turkana,baada ya wezi wa mifugo kuvamia Kijiji hicho,kuuwa mtu na kutoweka na mifugo .Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,wakazi wa Lorogon wanataka serikali iingilie kati kuwasai