Back to home
Majibizano makali kati ya Anthony Kibagendi na Waziri wa Afya Aden Duale katika kikao cha afya
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
5h ago
Majibizano makali kati ya Mbunge wa Kitutu Chache Anthony Kibagendi na Waziri wa Afya Aden Duale yalishuhudiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Afya baada ya Mbunge wa Kitutu Chache Anthony Kibagendi Kumkashifu Waziri Duale akidai anwapuuza Wanachama wa kamati hiyo. Waziri wa