Back to home
Serikali yaanzisha upya ujenzi wa uwanja Kuresoi Kusini
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
10h ago
Kama njia moja ya kulea na kukuza vipaji, serikali kuu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya nakuru, imeanzisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Olenguruone, Kuresoi Kusini.