Back to home
Serikali yaanzisha mpango wa kukabiliana na mbegu ghushi nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
6h ago
Serikali imeanzisha mpango wa kukabiliana na mbegu ghushi nchini kwa kuhakikisha inazalisha mbegu za kutosha. Hatua hiyo inalenga kuwaepushia hasara wakulima ambao mara nyingi huangukia katika mtego wa matapeli wanaotumia uhaba wa mbegu kuwauzia bidhaa zisizo halali.