Back to home

Maandalizi ya msafara wa jipange na viusasa yakamilika

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
6h ago
Maandalizi ya msafara wa Jipange na Viusasa yamekamilika huku kikosi cha watangazaji wa Inooro FM kikiwa tayari kutifua kivumbi mlimani, kuanzia kesho. Viusasa imeandaa msafara huu ili kukutana na mashabiki wa vipindi vyake mtandaoni na kuwazawadi kwa kuganda kwenye kiunzi cha vi