Back to home

Bidii na uvumilivu wamwezesha Assumpta Ndave kung’aa katika sekta ya mawasiliano

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
4h ago
Miaka ya nyuma si wanawake wengi waliojitosa katika biashara za kuajiriwa lakini wachache waliojitolea walionekana kufanya kazi kwa dhati. Wanapotajwa, jina la assumpta ndave raphael haliwezi kukosekana kwani licha ya pandashuka alizopitia kujitafutia riziki na kuwalea wanawe, sa