Back to home

Mamia wajitokeza barabarani Nairobi kumuomboleza Raila Odinga, shughuli za biashara zikitatizwa.

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 15, 2025
2h ago
Mamia ya wakenya walijitokeza kwenye barabara za Nairobi leo asubuhi huku biashara zikitatizwa kufuatia taarifa za kifo cha waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Wengi wao wakiwemo vijana walibeba matawi katika sehemu mbalimbali za jiji kuu la Nairobi wakimuomboleza Raila