Back to home

Wakazi wa Kibra wamwomboleza Raila huku masomo yakisitishwa katika shule aliyoanzisha.

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 15, 2025
2h ago
Wakazi wa Kibra walimiminika katika uwanja wa Kamukunji kumuomboleza Raila Odinga baada ya taarifa kuhusu kifo chake kuenea katika eneobunge hilo. Aidha, masomo yalisitishwa katika shule ya Raila Education Center, huku walimu, wanafunzi na wazazi wa shule hiyo wakimuomboleza mwan