Back to home

Safari ya Raila Odinga ni hadithi ya ustahimilivu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 15, 2025
2h ago
Jina Raila Amolo Odinga limeganda kwenye historia ya Kenya kama kiongozi aliyestahimili mawimbi ya siasa kizazi baada ya kizazi. Licha ya kuwa mstari wa mbele kwenye ajenda za demokrasia na mabadiliko ya taifa, Raila alikosa urais mara tano