Back to home

S.K. Macharia amuomboleza Raila Odinga akimtaja kama ndugu, rafiki na sehemu muhimu ya maisha yake

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 15, 2025
3h ago
Mwenyekiti Wa Royal Media Services Daktari S.K. Macharia amemuomboleza Raila Odinga akimtaja kuwa mtu muhimu sana katika maisha yake. Kwenye ujumbe wake, Daktari S.K. Macharia ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Raila amesema hakuwa tu ndugu na rafiki bali kiungo muhimu c