Back to home

Wabunge waomboleza Raila Odinga, wataja mchango wake kama galacha wa siasa za Kenya.

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 16, 2025
2h ago
Wabunge leo wamemuomboleza aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga huku wengi wakitaja ushirikiano wao naye. Baadhi ya wabunge wakikumbuka mchango wa Raila kwenye maisha yao ya kisiasa, wakisema kenya imepoteza mti na galacha wa siasa