Back to home

Maelfu Mombasa waomboleza Raila Odinga kwa mishumaa na maandamano ya amani.

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 16, 2025
2h ago
Maelfu ya wakazi wa mombasa wameungana na wenzao kumuomboleza marehemu Raila Odinga kwa siku ya pili. Wakiwasha mishumaa na kuandamana kwa amani, wakaazi hawa walimtaja Raila kama mwana mageuzi. Nalo baraza la wazee wa jamii ya waluo kutoka Pwani likikongamana na kutangaza kuwa l