Back to home
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alitoa rambirambi zake na kumpa heshima za mwisho Hayati Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 17, 2025
22h ago
Msisimko mkubwa ulitanda katika Uwanja wa Nyayo wakati Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alipokuwa akitoa rambirambi zake na kumpa heshima za mwisho Hayati Raila Amollo Odinga. Mapokezi ya aina yake kutoka kwa waombolezaji yalimlazimu Kenyatta kusitisha hotuba yake kwa muda mfupi, baad