Back to home
Rais William Ruto amemuomboleza hayati Raila Odinga kama kiongozi aliyesimama na taifa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 17, 2025
18h ago
Rais William Ruto amemuomboleza hayati Raila Odinga kama kiongozi aliyesimama na taifa wakati lilipomuhitaji. Rais Ruto ambaye aliongoza taifa katika kumuomboleza hayati Odinga katika uga wa Nyayo leo, alimshukuru Odinga kwa kumsaidia serikali yake ilipoyumbayumba.
Raila Odinga's Funeral Arrangements and Tributes from President Ruto - October 2025
President William Ruto eulogized the late Raila Odinga as a leader who stood with the nation and admitted Odinga had intervened during a period of instability within his administration. The funeral organizing committee issued an official statement regarding a public farewell ceremony in Kisumu. The entire mourning and funeral arrangements have now shifted to Kisumu and Bondo counties. According to a statement, the body of the opposition leader is scheduled to be airlifted to Mamboleo Grounds in Kisumu for a public viewing. Before plans shifted, the body of the late Raila Odinga was at the Lee Funeral Home awaiting transport.
Kamati andalizi ya mazishi ya hayati Raila Odinga yatoa taarifa rasmi siku ya pili
Citizen TV (Youtube)
Video
Kindiki: Raila'd body to be airlifted to Mamboleo Grounds in Kisumu for public viewing
NTV Kenya (Youtube)
Video
Rais Ruto amekiri kuwa Raila ndiye aliyemuokoa wakati utawala wake ulipokuwa ukiyumbayumba
NTV Kenya (Youtube)
Video
Shughuli nzima ya maombolezo na mazishi sasa imehamia kaunti za Kisumu na Bondo
Citizen TV (Youtube)
Video
6 stories in this topic
View Full Coverage