Back to home

Maelfu ya waombolezaji kutoka Kisumu na kaunti jirani wamiminika katika uwanja wa Jomo Kenyatta

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 18, 2025
8h ago
Maelfu ya waombolezaji kutoka Kisumu na kaunti jirani walimiminika katika uwanja wa Jomo Kenyatta huko Mamboleo, ili kumpa mkono wa buriani aliyekuwa waziri mkuu hayati Raila Odinga. Baadhi yao walilemewa na majonzi, wengine wakiamua kumkumbuka na kumuaga Raila Odinga kwa nyimbo

More on this topic

Thousands of Mourners Gather at Mamboleo Grounds in Kisumu to View Raila Odinga's Body - October 2025

Thousands of mourners from Kisumu and neighboring counties gathered at the Jomo Kenyatta International Stadium in Mamboleo to bid farewell to the late former Prime Minister Raila Odinga. Residents from Kisumu, Homa Bay, Migori, Kisii, and surrounding areas also turned out in large numbers at Mamboleo Stadium to view the body of the late Raila Amolo Odinga. Multiple reports confirm thousands of mourners gathered at Jomo Kenyatta Stadium in Kisumu to view the body. This significant gathering at the Mamboleo Grounds was for supporters to pay their last respects to the prominent Kenyan political figure. The event marked a key moment for supporters of Odinga.

4 stories in this topic
View Full Coverage