Back to home

Wakenya kutoka maeneo mbalimbali waelekea Bondo kwa mazishi ya hayati Raila Odinga

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 18, 2025
13h ago
Wakenya kutoka maeneo mbalimbali kwa sasa wako njiani kuelekea Bondo, kaunti ya Siaya kwa mazishi ya hayati Raila Odinga. Aidha hafla mbalimbali za maombi na kuwasha mishumaa ikishuhudiwa katika kaunti kadhaa. Hii ikiwa njia moja ya wakenya kuenzi mchango wake katika uongozi na d