Back to home
Siasa za mustakabali wa ODM zaibuka kwenye mazishi ya Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 19, 2025
4h ago
Siasa za chama cha ODM zilisheheni katika mazishi ya hayati Raila Odinga huko Bondo, huku viongozi wa chama hicho wakiapa kuimarisha chama hicho na kushirikiana na Rais William Ruto. Rais William Ruto pia naye akionekana kuingilia siasa za mustakabali wa ODM baada ya kifo cha Rai