Back to home

Rais Ruto azungumzia changamoto za kiafya za Raila kabla ya kifo chake

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 19, 2025
5h ago
Kwa mara ya kwanza, Rais William Ruto amezungumzia kwa uwazi changamoto za kiafya za hayati Raila Odinga muda mfupi kabla ya kifo chake. Kwenye hafla ya mazishi ya mwendazake Raila, Rais Ruto alisimulia siku dhifa ya chajio na familia ya Raila Odinga, ambapo waliafikia asafirishw