Back to home
Ruto afichua makubaliano yake na hayati Raila Odinga kuhusu mustakabali wa taifa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 20, 2025
3h ago
Rais William Ruto aliahidi chakula cha kutosha nchini, nyongeza ya thamani kwa bidhaa zinazouzwa nje pamoja na miundo mbinu kama mustakabali wa makubaliano yake na hayati Raila Odinga. Rais akihutubia sherehe za mashujaa mwaka huu huko Kitui amesema, hii ndio njia waliyokubaliana