Back to home
Wanamichezo wa Githunguri wamtambua mkufunzi wa taekwondo Ndung’u Ng’ang’a kama shujaa wao
video
C
Citizen TV (Youtube)October 20, 2025
4h ago
Huku taifa likisherehekea sikukuu ya mashujaa, wanamichezo katika mtaa wa Githunguri na shule zilizo eneo hilo wamemsherehekea mwalimu wa mchezo wa tae kwondo Ndung'u Ng'ang'a kama shujaa wao

