Back to home

Zaidi ya wakenya 180 watuzwa Mashujaa mwaka huu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
9h ago
Zaidi ya wakenya 180 wametuzwa kama mashujaa kwenye sherehe ya mwaka huu ya mashujaa. Miongoni mwa waliotuzwa ni wachezaji wa harambee stars, wasanii waliotia fora kwa miziki yao na waja-siri-amali. Hapa runinga ya Citizen, mwanahabari mwenza Mwanahamisi Hamadi pia ametuzwa kwa k