Back to home

Wakulima wapewa hamasisho kuhusu vyakula na mimea ya jadi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
10h ago
Kadri athari za mabadiliko ya tabianchi zinavyoendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi nchini, wakenya wengi wanakabiliwa na uhaba wa chakula na lishe bora. Hata hivyo, wadau katika sekta ya kilimo wamekuwa wakihamasisha mbinu bora za kilimo zinazolenga kuongeza uwezo wa wakulima