Back to home

Viongozi wa Turkana wataka serikali irejeshe amani Kainuk

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
3d ago
Viongozi wa Turkana wametoa wito kwa serikali na wizara ya usalama wa ndani zitilie mkazo kuhakikisha usalama umerejea Kainuk, ili kuhakikishia wakaazi usalama wao Kwa kuwa eneo hilo limezidi kudorora kutokana na utovu wa usalama.