Back to home
Serikali imetambua mchango wa Raila Odinga kote nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
6h ago
Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor aliwaongoza wakazi katika kuadhimisha sherehe za mashujaa, huku akielezea kuwa serikali imetambua mchango wa mrehemu raila Odinga kwa kumtunuku kama shujaa wa hadhi ya juu zaidi nchini.