Back to home
Mahakama ya leba yazuia Kaunti ya Kiambu kuajiri madaktari wapya hadi kesi isikilizwe
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
15h ago
Mahakama ya leba imeizuia serikali ya kaunti ya Kiambu kuwaajiri madaktari wapya hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani itakaposikilizwa na kuamuliwa