Back to home

Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma waingia siku ya 34

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
1d ago
Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini umeingia siku ya 34, huku wahadhiri wa chuo kikuu cha kiufundi (TUK) wakianza mgomo wao. Wahadhiri 40 wanaoshiriki mgomo wa kitaifa katika chuo hicho wamekabidhiwa barua za kuwasimamisha kazi na kufungiwa nje. Wahadh