Back to home
Timu ya taifa ya wachezaji wenye ulemavu wa macho yajitayarisha kwa mashindano ya dunia Uturuki
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
11h ago
Timu ya taifa kwa wachezaji wenye ulemavu wa macho ya unyanyuaji uzani iko kambini tayari kwa mchuano wa wiki moja wa dunia utakao fanyika nchini Uturuki wiki ijayo