Back to home

Mwanahamisi Hamadi atunukiwa hadhi ya shujaa katika sherehe za Mashujaa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
11h ago
Amekuwa mstari wa mbele kuangazia safari za wanawake wanaofanya shughuli mbalimbali zinazokuza na kuinua jamii hapa runinga ya Citizen. Kupitia kipindi chake cha Mwanamke Bomba, amekuwa akitembea safari hii na wanawake kutoka sehemu mbalimbali ambao amekuwa akiwavisha taji kila w