Back to home
KTDA yamkemea Katibu wa Kilimo baada ya tishio la kufurushwa kwa wakurugenzi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
11h ago
Wizara ya kilimo imetishia kuwafurusha wakurugenzi wa mamlaka ya chai nchini KTDA, kufuatia tofauti kubwa zilizoshuhudiwa kwenye malipo ya bonasi kwa wakulima wa chai mwaka huu. Katibu wa kilimo Paul Ronoh aliyeashiria nia ya serikali kufanya mabadiliko kwenye mamlaka hio anasema