Back to home
Serikali kuzima mitandao inayochochea
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
13h ago
Sheria mpya zilizosainiwa na Rais William Ruto sasa zitatoa fursa kwa wakenya kupigwa faini ya shilingi milioni 20 au kufungwa jela kwa muda usiopita miaka 10, kwa yeyote atakayechapisha maneno yatakayochochea raia kuharibu mali, kuvuruga amani ama kumvamia mtu yeyote. Aidha, she