Back to home
KHRC na mwanamuziki Paul Kigame wawasilisha kesi kupinga sheria ya uhalifu wa mitandao
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
13h ago
Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinaadam na mwanamuziki Paul Kigame wamewasilisha kesi mahakamani kupinga utekelezaji wa sheria ya uhalifu wa mitandao iliyotiwa saini na Rais William Ruto juma lililopita. Haya yamejiri mahakamani huku viongozi wa upinzani na wanaharakati wak