Back to home

Viongozi wafika eneo la Kang'o ka Jaramogi ili kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Raila Odinga

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
1d ago
Viongozi mbali mbali wanaendela kufika katika eneo la Kang'o ka Jaramogi ili kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati Raila Odinga. Hii leo baraza la wazee wa jamii mbali mbali limeleta mifugo katika eneo hilo, kama njia moja ya kutoa heshima kwa mwendazake.