Back to home
Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kahiga ajiuzulu kama Naibu Mwenyekiti wa baraza la magavana
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
1d ago
Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kahiga leo amejiuzulu wadhifa wake wa Naibu Mwenyekiti wa baraza la magavana. Hatua hiyo inafuatia matamshi yake ya kukejeli kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga na ambayo yamevutia hisia kali kutoka kwa Wakenya. Na huku akijutia matamshi y





