Back to home
Familia ya Sheryl Ohanga yapinga kauli huenda alijirusha kutoka gorofani
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
10h ago
Familia ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi Sheryl Ohanga aliyedaiwa kufariki baada ya kuanguka kutoka gorofani mjini Nyamira, sasa imejitokeza kupinga madai hayo ikidai mwana wao huenda alirushwa kutoka gorofa hiyo.