Back to home

Walimu katika Shule ya Msingi ya Sultan Hamud wadai muda wanaotumia darasani unawathiri kiakili

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
10h ago
Huku changamoto ya afya ya akili ikizidi kuwatatiza wananchi wengi nchini wakiwemo walimu, walimu kutoka kaunti ya Kajiado wamegeukia michezo kama jukwa la kuwahamasisha walimu kuhusu namna ya kupambana na changamoto hiyo. Kwenye hafla ya michezo iliyoandaliwa katika Shule ya Msi