Back to home

Viongozi Nandi wahimiza kuhifadhiwa kwa kibuyu cha jadi kinachotambulika kama Sotet

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
10h ago
Makundi mbali mbali kaunti ya Nandi yameanzisha mchakato wa kutoa mafunzo kwa kizazi cha sasa kuhusiana na kuhifadhi matumizi ya kibuyu cha kitamaduni kinachotambulika kama Sotet. Makundi hayo yanafanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa matumizi ya kibuyu hicho yanaendelea ikizingati