Back to home
Wakazi wengi Nanyuki wakumbwa na ukosefu wa maji
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
10h ago
Wakazi wa Nanyuki wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya ukosefu wa maji, hali iliyosababisha changamoto za kiafya katika baadhi ya maeneo ya mji. Kufuatia mradi wa maji unaotekelezwa na Kampuni ya Usambazaji wa Maji ya Nanyuki, mradi huu ambao umefikia asilimia 98 kukamilika unale