Back to home

Ajali mbaya ya barabarani iliyoyahusisha magari manne Kampala yawaua watu 48

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
4h ago
Watu 48 wamefariki kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha magari manne mjini Kampala, Uganda. Ajali hii ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku katika barabara kuu kutoka Kampala kuelekea Gulu