Back to home

Benki ya dunia yatoa ksh.500m za mikopo ya wafugaji nafuu Githunguri

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 23, 2025
3w ago
Maelfu ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walio chini ya shirika la Githunguri Dairy watanufaika na ufadhili wa shilingi milioni 500 kutoka benki ya dunia.