Back to home
Polisi waendeleza msako dhidi ya wauzaji pombe haramu katika kaunti ya Bungoma
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
3h ago
Onyo kali limetolewa kwa watengezaji pombe haramu kutoka chesikaki eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao iwapo watapatikana.



