Back to home

Viongozi wa Wiper wadai Rais William Ruto apuuza Ukambani

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
9h ago
Wanasiasa wa chama cha Wiper wamemsuta Rais William Ruto kwa kile wanachodai ni kudhalilisha jamii ya wakamba. Wanasiasa hao wanasema wamechoka na madharau yanayotoka serikalini.