Back to home
Magavana kutoka kaunti tatu za Mlima Kenya wamkosoa Kahiga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
3w ago
Magavana kutoka kaunti tatu za Mlima Kenya wamemkashifu gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kuhusiana na matamshi yake tata kuhusu kifo cha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Magavana hao wakiyataja matamshi ya gavana Mutahi kuwa yasiyo adabu.




