Back to home
Wakenya waliomdhalilisha kimaumbile Raila Junior wakashifiwa
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 24, 2025
15h ago
Muungano wa watu wanaoishi na ulemavu umekashifu kisa ambacho baadhi ya wakenya wameonekana kumdhalilisha kimaumbile mwanawe hayati Raila Odinga, Raila Junior.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news up




