Back to home
Madaktari wa KNH wamfanyia Ian Baraka upasuaji wa uso na kumrejeshea hadhi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
4h ago
Madaktari katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta wamefanikiwa kumrejeshea hadhi na umbo la uso wake mtoto mwenye umri wa miaka saba. Ian Baraka, alipata majeraha yaliyomharibu kabisa uso baada ya kufyatuliwa risasi na wezi wa mifugo nyumbani kwao kwenye mpaka wa meru na Isiolo.





