Back to home

Madaktari warejea kazini Kiambu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
4h ago
Madaktari kutoka kaunti ya Kiambu hatimaye wamesitisha mgomo ambao umekuwa ukiendelea kwa miezi mitano sasa. Hii ni baada ya kaunti hiyo kukubali kuwalipa mishahara ambayo ilikuwa imesitishwa wakati wa mgomo.