Back to home

Msichana aliyetoweka The Waterfront Karen apatikana

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 25, 2025
14h ago
Baada ya Runinga ya Citizen kuangazia kutoweka kwa msichana mwenye umri wa miaka 13 katika jumba la kibiashara la The Waterfront mtaani Karen, mtoto huyo ameungana na familia yake baada ya kupatikana hii leo.