Back to home
Magavana wamtembelea mjane Ida Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 25, 2025
11h ago
Magavana hii leo walimtembelea mjane Ida Odinga katika boma lake la Opoda farm huko Bondo na kumfariji siku chache baada ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Amolo Odinga kuzikwa.





